Habari zenu Wadau,
Natumia machine aina ya DELL Vostro, napata tatizo baada ya ku-login to
windows inakaa kwa dk1 tu halafu ina-turnoff display, inaendelea kuwa
ON. Nimejaribu kuongeza brightness lakini haijawa sawa, pia kwenye ile
option ya ya ku-set wakati gani display ijizime iko sawa. Naomba msaada
tatizo nini Wakuu?
No comments:
Post a Comment