Sunday, 18 January 2015
VIJANA Tusitumike Kisiasa Tunaliua Taifa!
Vijana Wengi Tumekua Tukitumika Kisiasa Kwa Madai Ya Ugumu Wa Ajira, Nikiwa Kama Kijana Napingana Na Hili 100%. Kwani Kama Kuna Ugumu Wa Ajira Wewe Ni Mchumi, Mhasibu, Dr, Engineer Afisa Kilimo Nk, Kama Umekosa Ajira Ktk Sekta Rasmi, Lakini Hata Sekta Binafsi? Ndio Kunaw Ugum Wa Mtaji Lakini Ukweli Ni Kwamba Vijana Wengi Wa Kitanzania Tunachagua Kazi! Nakumbuka Ule Umati Wa Vijana Uwanja Wa Taifa Kwnye Usaili Wa Uhamiaji,Wengi Walikua Na Kazi Ila Walitaka Kubadili Tu Aina Ya Kazi Nikiwemo Mimi. Kua Mwanaharakati Wa Chama Flani Si Dhambi Lakini Pembeni Tumikia Taaluma Yako Kukupatia Mtaji Na Sio Kutumika Kisiasa.
Reply With Quote
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment