Kitengo cha ulinzi na usalama cha Bunge kimetoa taarifa ya kukanusha, tuhuma zilizosambazwa katika mitandao ya kijamii zikimhusisha Mbunge wa Bunge maalumu la Katiba ndugu Paul Makonda kuhusika na wizi wa simu ya Mjumbe wa Bunge la Katiba. Akitoa taarifa hiyo mbele ya Bunge maalumu la katiba, Mwenyekiti wa muda wa Bunge maalumu, Mh. Pandu Amiri Kificho alisema;
Friday, 28 February 2014
NEWSS>>Mapenzi ya jinsia moja haramu Uganda
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametia saini mswada wenye utata unaotoa adhabu kali kwa watakaopatikana wakishiriki mapenzi ya jinsia moja.
Rais Museveni alitia saini mswada huo nyumbani kwake katika hafla iliyoshuhudiwa na maafisa wakuu wa
NEWS>>>Kalenga: Moja ya hila ya kukusanya vitambulisho vya kupigia kura
Hii ni moja ya mbinu tulizozibaini ambazo zinatumika kukusanya vitambulisho vya kupigia kura. Tangazo hili la vocha za mbolea ya ruzuku lilikuwa limebandikwa kwenye ofisi ya Mtendaji wa Kijiji cha Igula (just a case study), ni hali ambayo iko maeneo mengi jimboni Kalenga tangu uchaguzi ulipotangazwa. Mgombea Tendega Grace amekuwa akilikemea hilo baada ya wananchi kumpatia malalamiko yao.
Nani atasimama Kugombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA CHALINZE?
Wanabodi uchaguzi mdogo katika Jimbo la Chalinze umetangazwa na mchakato kwenye vyama vya Siasa unatarajiwa kuanza rasmi.Kwa kuwa Chadema wamepata nguvu kubwa ya ushawishi katika Jimbo hilo,Je Ni nani mnadhani atakuwa mgombea wa chadema?sourse>>jamii forum
Waziri Magufuli akagua mradi wa mabasi yaendayo kasi ( BRT ) jijini Dar.....Barabara ya Kimara hadi Kivukoni kukamilika ndani ya miezi 6 ijayo 2/28/2014 habari za kitaifa
Kampuni ya Strabag International GmbH
inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kivukoni hapa
jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha kuwa inakamilisha ujenzi wa
sehemu hiyo ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo kama
HATIMAYE Prof. Costa Mahalu, mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri.......
HATIMAYE Prof. Costa Mahalu,
mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri
wa Kanuni zitakazoliongoza Bunge
Maalum la Katiba azungumzia mvutano wa wajumbe wa 'kura iwe wazi ama siri'.Asema, anawaachia wajumbe waamue wenyewe Unadhani hilo ndilo litakuwa suluhisho?.. sourse>>jamii forum
mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri
wa Kanuni zitakazoliongoza Bunge
Maalum la Katiba azungumzia mvutano wa wajumbe wa 'kura iwe wazi ama siri'.Asema, anawaachia wajumbe waamue wenyewe Unadhani hilo ndilo litakuwa suluhisho?.. sourse>>jamii forum
Subscribe to:
Posts (Atom)