Kikwete
akitoa hotuba yake kushukuru msaada magari 11 ulioyatolewa na
Mkurugenzi wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert
Muir kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ujangili katika hifadhi za
Serengeti, Selous na Maswa
Rais
Jakaya Kikwete wa pili kushoto akipata maelezo kuhusu msaada wa magari
11 kutoka kwa Mkurugenzi wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya
Afrika, Robert Muir (katikati)na kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini
Hans Koeppel katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Msaada huo umetolewa na FZS kwa ajili ya kupambana na vitendo vya
ujangili katika hifadhi za Serengeti Selous na Maswa.
Mkurugenzi
wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert
Muir(katikati) akitoa hotuba yake kuhusu msaada magari 11 waliyoyatoa
kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ujangili katika hifadhi za
Serengeti ,Selous na Maswa,kushoto wa pili ni Rais Jakaya Kikwete na wa
kwanza ni Balozi wa Ujerumani nchini Hans Koeppel na kulia wa pili
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro
No comments:
Post a Comment