Sunday, 9 March 2014

NEW>Audio: Teaser ya single mpya ya Roma ‘KKK’ itakayotoka Jumatatu (10/03/2014)


Ni siku moja imesalia kabla
Roma hajaachia single yake mpya baada ya kimya kirefu, sikiliza teaser ya wimbo huo uitwao ‘KKK’ ambao umepikwa Tongwe Records unaotarajiwa kutoka Jumatatu 10/03/2014.

No comments:

Post a Comment