Rais wa Bongo
Movie Unit, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amemmwagia sifa staa wa filamu
Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuwa ni binti mdogo lakini sasa anajitambua
tofauti na wasanii wengine wakubwa.
Akiongea na mwandishi
wetu alisema kuwa, mbali na umakini katika kazi zake za kisanii, sasa
hivi yuko makini sana na maisha yake kiasi kwamba ni nadra sana kumkuta na
skendo za kijingajinga
No comments:
Post a Comment