NEW>Audio: Teaser ya single mpya ya Roma ‘KKK’ itakayotoka Jumatatu (10/03/2014)
Ni siku moja imesalia kabla Roma hajaachia single
yake mpya baada ya kimya kirefu, sikiliza teaser ya wimbo huo uitwao ‘KKK’
ambao umepikwa Tongwe Records unaotarajiwa kutoka Jumatatu 10/03/2014.
No comments:
Post a Comment