Friday, 28 February 2014

Steve Nyerere ammwagia SIFA Lulu Michael.....Adai ni miongoni mwa wasanii wachache wa kike wasio na skendo chafu kwa sasa

Rais  wa Bongo Movie Unit, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amemmwagia sifa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuwa ni binti mdogo lakini sasa anajitambua tofauti na wasanii wengine wakubwa.

Akiongea na mwandishi wetu  alisema kuwa, mbali na umakini katika kazi zake za kisanii, sasa hivi yuko makini sana na maisha yake kiasi kwamba ni nadra sana kumkuta na skendo za kijingajinga

No comments:

Post a Comment